
VIWANJA
VINAVYOUZWA KWA SASA
Yafuatayo ni maeneo ambayo kwa sasa Makazi Investment Ltd inauza viwanja vya bei poa lakini vyenye ubora wa hali ya juu!
Mfumo wetu wa mauzo kama ifuatvyo:
Mwanzo: Lipa 30% ya thamani ya kiwanja
Kisha: Lipa fedha iliyobakia kwa mgawanyiko sawia ndani ya miezi
MINNE hadi MINANE