top of page
PUGU KINYAMWEZI
Viwanja Pugu Kinyamwezi
Mahali Ilipo: Pugu,Kinyamwezi ,Eneo la Kimani Juu
Maelezo: - Eneo lina Maji na Umeme
- Gari inafika hadi site
- Barabara za mtaani zinafikia kila kiwanja
- Eneo ni lina mandhari ya kuvutia.
BEI: Tsh. 16,000 kwa sqm (Milioni 2.4 unapata kiwanja
-Kiwanja cha bei ya chini kabisa ni Milioni 2.4
-Unaweza kulipa kwa instalments miezi 8 hadi mwaka
MFUMO WA MALIPO:
- Unaweza kulipia kiwanja kama ifuatavyo:
1.Lipa hela yote kwa mkupuo mmoja na upewe punguzo la 10%
2.Lipa kidogokidogo wa installments za kila mwezi ambapo
(a) Ukianza na 30% deni linalobakia utalilipa ndani ya miezi 8
(b) Ukianza na 50% deni linalobakia utalilipa ndani ya
miezi 12 (yaani mwaka mmoja)
Kwa maelezo zaidi piga:
0713565999 / 0767565999
0712780906 / 0769425161
0713940188
Ramani ya Viwanja

Picha za Eneo (Site)

WhatsApp Image 2017-08-26 at 17.06.56

WhatsApp Image 2017-08-26 at 17.10.29

WhatsApp Image 2017-08-10 at 11.20.28

WhatsApp Image 2017-08-10 at 11.20.27

WhatsApp Image 2017-08-10 at 11.20.25(1)

WhatsApp Image 2017-08-10 at 11.20.27(1)

WhatsApp Image 2017-08-10 at 11.20.26

WhatsApp Image 2017-08-10 at 11.20.25

WhatsApp Image 2017-08-10 at 11.20.20
bottom of page