top of page
KILUVYA
Viwanja Kiluvya kwa Sumaye
Mahali Ilipo: Kiluvya(Kwa Sumaye) ,Mtaa wa Makurunge
Maelezo: - Eneo lina Maji na Umeme
- Gari inafika hadi site
- Barabara za mtaani zinafikia kila kiwanja
- Eneo ni tambarare kabisa.
BEI: Tsh. 10,000 kwa sqm(Milioni 3.48 unapata kiwanja )
-Ukubwa kuanzia sqm 348
-Kiwanja cha bei ya chini kabisa ni Milioni 5
-Unaweza kulipa kwa instalments miezi 8 hadi mwaka
MFUMO WA MALIPO:
- Unaweza kulipia kiwanja kama ifuatavyo:
1.Lipa hela yote kwa mkupuo mmoja na upewe punguzo la 10%
2.Lipa kidogokidogo wa installments za kila mwezi ambapo
(a) Ukianza na 30% deni linalobakia utalilipa ndani ya miezi 8
(b) Ukianza na 50% deni linalobakia utalilipa ndani ya
miezi 12 (yaani mwaka mmoja)
Kwa maelezo zaidi piga:
0713565999 / 0767565999
0712780906 / 0769425161
0713940188
Ramani ya Viwanja

Picha za Eneo (Site)

18

22

15

21

10

20

19

17

16
bottom of page