© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.

Viwanja -Mbezi Mwisho

Mahali vilipo: Mbezi Mwisho,mita 500 tu toka round about ya kuelekea Goba na mita 500 toka kwenye lami.

Maelezo: - Eneo lina Maji na Umeme
                  - Gari inafika hadi site

                  - Barabara za mtaani zinafikia kila kiwanja

                  - Eneo ni lina mandhari ya kuvutia.

                  - Viwanja vimepimwa na unapata Hatimiliki
       

Ukubwa: Sqm 400 (Mita 20 kwa 20)

Bei: Kila kimoja Tsh 23,000,000(Milioni Ishirini na tatu)

  

MFUMO WA MALIPO:

                - Fedha yote kwa mikupuo miwili

            

Kwa maelezo zaidi piga:      

                             0713565999  / 0767565999

                            

               

Ramani ya Viwanja

Picha za Site