top of page

PATA TAARIFA ZOTE KUHUSU VIWANJA VYA PUGU HAPA

Viwanja vya Pugu viko Pugu Kinyamwezi katika Mtaa wa Kimani,umbali wa takribani 4Km kutoka Pugu Road na ni kama mwendo wa kutembea kwa miguu toka kituo cha Train cha Mwakanga ambacho kinatumika kwa ajili ya usafiri wa Train kwenda na kutoka katikati ya jiji bila kupata bughudha ya foleni.

Ramani
BLOCK A
Picha
Maandalizi Site ya Pugu
Video
BLOCK B
BLOCK C
BLOCK D
bottom of page