Mbweni, Dar es Salam, Tanzania
For Sale
TZS 220,000,000/-
NYUMBA INUZWA 220M - MBWENI TETA
Iko mita 100 toka barabara mpya ya Mbweni Teta
Ni mpya
Ina vyumba vitatu,kimoja master bedroom
Ina geraji ya kuhifadhi gari
Ina servant quarter ndogo
Ina maji na umeme