top of page
Property Description
NYUMBA YA GHOROFA (SEMIFINISHED)INAUZWA MADALE
1. (a)Nyumba iko katika kiwanja chenye ukuwa wa eneo - Sqm 1,000
(b)Idadi ya nyumba zilizomo; Ghorofa 1
(c)Vipimo vya kiwanja ; Sqm 1,000
(d)Aina za Nyaraka (Documents) - HATIMILIKI
i.Idadi ya vyumba: 5 ;Viwili Chini na Vitatu Juu;Self 4
ii.Dining 1