Karibu Mwalimu!!
Makazi Investment Limited tunayo furaha kubwa kukujulisha ewe mpendwa mwalimu kuwa katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya Tano ya kuboresha elimu Tanzania tumeona ni vyema na sisi kuchangia kwa kuboresha maisha ya Walimu ambao ndiyo nguzo kuu kwa ajili ya mafanikio ya wanafunzi shuleni kwa kuwawezesha kumiliki kiwanja kwa ajili ya makazi na pia mwalimu awe na uwezo wa kukitumia kiwanja hicho kama dhamana ya kujipatia mikopo mbalimbali ya kibishara kwa bei nafuu na ya upendeleo maalum.
Maeneo Tarajiwa ni :
Mvuti (Tayari viwanja vipo na tutaendelea kuongeza)
Kibaha Kongowe
Mlandizi
Bagamoyo
Viwanja vinaandaliwa kuendana na MAHITAJI hivyo jaza fomu kutoa order yako tuifanyie kazi.
TOA ORDER,TUNAKUPA MIEZI MIWILI YA KUANDAA KIANZIO CHA 300,000/= WAKATI HUO NA SISI TUNAWAANDALIA VIWANJA KUENDANA NA ORDERS TULIZOPOKEA KISHA TUNAKUITA UJE UKAGUE KIWANJA NA KUANZA MALIPO KWA KUSAINI MKATABA MAALUMU NA KAMPUNI NA UKIKAMILISHA MALIPO TUNAKUANDALIA NA HATI YA WIZARA YA ARDHI KWA WALE WATAKAOHITAJI.
KARIBU UJAZE FOMU HAPO CHINI ILI TUJUE MAHITAJI YAKO KAMILI KISHA TUWEZE KUKUHUDUMIA