BUYUNI-TUNDWI
Jisikie fahari kuwa mkazi wa Jiji la Kigamboni
OFA YA MWEZI MMOJA KWA VIWANJA VYA BUYUNI - TUNDWI
-
Viwanja viko eneo la Buyuni - Tundwi
-
Mita700 tu toka beach
-
Viwanja vimepimwa na hatimiliki utapata
-
Huduma za kijamii zipo
-
Bei ni Tsh 6,000/- kwa square meter
-
Size/Vipimo
Mita 20 kwa 25 = Sqm 500 = Tsh 3,000,000
Mita 30 kwa 20 = Sqm 600 = Tsh 3,600,000
Mita 35 kwa 20 = Sqm 700 = Tsh 4,200,000
Mita 30 kwa 25 = Sqm 750 = Tsh 4,500,000
Mita 20 kwa 40 = Sqm 800 = Tsh 4,800,000
Mita 30 kwa 30 = Sqm 900 = Tsh 5,400,000
Mita 40 kwa 25 = Sqm 1,000 = Tsh 6,000,000
Mita 40 kwa 30 = Sqm 1,200 = Tsh 7,200,000
Mita 40 kwa 40 = Sqm 1,600 = Tsh 9,600,000
MFUMO WA MALIPO
UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KAMA IFUATAVYO;
Kiwanja cha milioni 1 hadi 3:
Unaanza na nusu na iliyobakia ndani ya miezi mitatu
Kiwanja cha milioni 4 hadi 5
Unaanza na nusu iliyobakia ndani ya miezi mitano.
Kiwanja cha milioni 6 na zaidi
Ukianza na 30% iliyobakia unalipa ndani ya miezi minane(8)
Ukianza na 50% iliyobakia unailipa ndani ya mwaka mmoja.
NA UKILIPA KWA MKUPUO MMOJA UNAPATA PUNGUZO LA 10%