top of page
Nyumba ya Kisasa Inauzwa Madale
BEI: TSH.MILIONI 380
Maelezo
-Ipo Madale Mivumoni nyuma ya Atlas School
-Iko kwenye kiwanja kilichopimwa
-Kwa sasa bado haina hati ya Wizara (Title Deed)
-Iko kwenye hatua ya mwisho ya ujenzi (Haijamalizika)
-Ina ghorofa moja
-Ground floor:
Kitchen
Dinning Room
Store
Sitting Room
Office
Play Room
Public Toilet
Master Bedroom
-First Floor:
Four (4) Self Contained Bedrooms
Picha







bottom of page