© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.

Nyumba nzuri ya Kisasa inauzwa

Mahali Ilipo: Boko njia ya kuelekea Mbweni JKT,Mtaa wa Kyusa

Umbali : Iko kilometa 3 toka Bagamoyo Road

Maelezo: Ni nyumba mpya kabisa na iko katka hatua za mwisho za ujenzi

                 Bedrooms: Master 3 moja kubwa mara mbili ya nyingine na room moja ndogo ya

                                     ya kawaida,jumla vyumba vinne

                 Ina jiko,Living room,dining room,public toilet na store

Eneo: Square meter 1000

BEI: MILIONI 300 (300,000,000/=)