© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.

Nyumba nzuri ya Kisasa inauzwa

Mahali Ilipo: Mbweni

Umbali : Iko kilometa 3 toka Bagamoyo Road

Maelezo: Ni nyumba mpya kabisa na iko katka hatua za mwisho za ujenzi

                

Eneo: Square meter 1000

BEI: MILIONI 250 (250,000,000/=)