top of page
MVUTI
Viwanja Mvuti,Mtaa wa Kiboga
Mahali Ilipo: Mvuti,Mtaa wa Kiboga,Opposite na Mvuti Secondary School
Maelezo: - Gari inafika hadi site
- Barabara za mtaani zinafikia kila kiwanja
- Eneo ni tambarare kabisa.
BEI: Kuanzia Tsh. 1,000,000(Milioni Moja) hadi Tsh. 2,500,000 (Milioni 2.5)
MFUMO WA MALIPO:
-Ukilipa yote kwa mkupuo mmoja unapata punguzo 10%
-Unaweza kulipa kidogokidogo
-Kiwanja cha milioni 1 hadi 1.5 unatakiwa kuanza na nusu kisha deni lilipwe
ndani ya miezi mitatu.
-Kiwanja cha milioni 3 unatakiwa kuanza na nusu kisha deni lilipwe
ndani ya miezi sita.
Kwa maelezo zaidi piga:
0713565999 / 0767565999
0712780906 / 0769425161
0713940188
Ramani ya Viwanja

bottom of page