© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.

Karibu Kigamboni

Jisikie fahari kuwa mkazi wa Jiji la Kigamboni
Mpango kabambe na nafuu wa umilikishaji viwanja Kigamboni

Kulipa Kawaida Bila Kupitia Bank

 1. Sasa unaweza kulipia kiwanja kidogokidogo  hadi miaka sita (6)

 2. Utatakiwa tu kuanza na malipo ya awali ya asilimia TATU tu (3%)

 3. Asilimia tatu (3%) itailipwa kila mwezi kwa miezi 18 ya kwanza.

 4. Bei ya kiwanja kwa sqm ni kati  ya Tsh.8,000 - 14,000 kutegemeana na muda wa malipo mteja atakaochagua.

 5. Mfano:Ukilipa kwa mkupuo mmoja bei ni Tsh.8,000 kwa sqm na ukilipa kidogokidogo kwa miaka 6 bei kwa ni Tsh. 14,000 kwa sqm.

    Fungua hapa kupata maelezo zaidi:

Kulipa Kupitia Bank (Bado Haijaanza Rasmi)

 1. Lazima uwe na sifa ya kukopesheka.

 2. Utaratibu wa kukuwezesha kukopa utafanywa na kampuni ya Makazi.

 3. Kampuni ya Makazi itakudhamini kwenye mkopo husika hivyo itasimamia marejesho.

 4. Hakutakuwa na malipo ya awali bali marejesho ya kila mwezi yaliyolingana kwa kipindi cha miezi yote ya muda uliochagua kulipia.

 5. Bei ya kiwanja kwa sqm ni kati  ya Tsh.8,000 - 14,000 kutegemeana na muda wa malipo mteja atakaochagua.

 6. Mfano:  Ukilipa kwa mkupuo mmoja bei ni Tsh.8,000 kwa sqm na ukilipa kidogokidogo kwa miaka 6 bei kwa ni Tsh. 14,000 kwa sqm.

Tumia fomu hapo chini kujua kiwanja unachokihitaji na kwa mfumo unaotaka kutumia wa malipo kitakua na utaratibu gani: