top of page
Agro Products Suppliers ni wasambazaji wa bidhaa mbalimbali za kilimo na mifugo.
Msimu huu tunakuletea MAZIWA HALISI ya ngo'mbe toka shamba,maziwa ambayo hayajachanganywa na maji wala kitu kingine chochote.
Unaweza kuagiza maziwa na ukaletewa hadi nyumbani.Huna haja ya kwenda kuunga foleni na kujiweka kwenye hatari ya maambukizo ya magonjwa ikiwemo Covid-19
Pia unaweza kujisajili ili uhudumiwe kwa mfumo wa tenda ambapo utakua ukilipa kila mwisho wa mwezi.
Maziwa ni FRESH na MTINDI
Bei:
Maziwa Mtindi Tsh. 2,700 kwa lita na kipimo ni kuanzia Lita 5
Maziwa Fresh Tsh. 2,500 kwa lita na kipimo ni kuanzia Lita 5
Au wailiana nasi kwa kupiga/WhatsApp : 0713565999 / 0767565999
Agiza Maziwa
Jisajili kwa Tenda
Uza Maziwa
bottom of page