top of page
MFUMO WA MALIPO
1.Lipa kidogokidogo kwa installments za kila mwezi ambapo
(a)Kununua kwa kulipa yote kwa wakati mmoja (cash)
Tsh. 10,000 kwa sqm (Discount 10%)
Mfano:
Size= sqm 700
Bei: 700 x 10,000 = 7,000,000/-
DISCOUNT: 10% = 7,000,000 x 10% = 700,000
7,000,000 - 700,000 = 6,300,000/-
(b) Mkopo wa Mwaka Mmoja na Miaka Miwili
(i) Mwaka Mmoja
Bei = Size × 11,000
Kianzio = Bei÷Miezi 12
Mfumo: Tsh. (Bei/12) kila mwezi kwa miezi 12
Mfano:
Size = sqm 700
Bei : 700×11,000= 7,700,000
Kianzio: 7,700,000÷12=641,666
Mfumo: Tsh 641,666 kila mwezi kwa miezi 12
(ii) Miaka Miwili
Bei = Size × 12,000
Kianzio = Bei÷Miezi 24
Mfumo: Tsh. (Bei/24) kila mwezi kwa miezi 24
Mfano:
Size = sqm 700
Bei : 700×10,000= 8,400,000
Kianzio: 7,000,000÷24=350,000
Mfumo: Tsh 350,000 kila mwezi kwa miezi 24
(c)MIAKA MITATU HADI SITA
Anza na 3% kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo kisha iliyobakia ilipwe kwa muda unaobakia baada ya kutoa miezi 18 ya awali.
(i) Miaka Mitatu
Bei = Size × 13,000
Kianzio = Bei×3%
Mfumo: Tsh. (Bei×3%) kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo
Kisha: [Bei - (Bei×3%×18)]/Miezi iliyobakia
Mfano:
Size = sqm 700
Bei : 700×13,000= 9,100,000
Kianzio: 9,100,000×3%=273,000
Mfumo: Tsh 273,000 kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo
Kisha: [9,100,000-(273,000×18)]/(36-18)
= 4,186,000÷18
= 232,555
Tsh 232,555 kila mwezi kwa miezi 18 ya mwisho
(ii) Miaka Minne
Bei = Size × 14,000
Kianzio = Bei×3%
Mfumo: Tsh. (Bei×3%) kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo
Kisha:[Bei - (Bei×3%×18)]/Miezi iliyobakia
Mfano:
Size = sqm 700
Bei : 700×14,000= 9,800,000
Kianzio: 9,800,000×3%=294,000
Mfumo: Tsh 294,000 kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo
Kisha: [9,800,000-(294,000×18)]/(48-18)
= 4,508,000÷30
= 150,266
Tsh 150,266 kila mwezi kwa miezi 30 ya mwisho.
(iii) Miaka Mitano
Bei = Size × 15,000
Kianzio = Bei×3%
Mfumo: Tsh. (Bei×3%) kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo
Kisha:[Bei - (Bei×3%×18)]/Miezi iliyobakia
Mfano: Size = sqm 700
Bei : 700×15,000= 10,500,000
Kianzio: 10,500,000×3%=315,000
Mfumo: Tsh 315,000 kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo
Kisha: [10,500,000-(315,000×18)]/(60-18)
= 4,830,000÷42
= 115,000
Tsh 115,000 kila mwezi kwa miezi 42 ya mwisho
(iv) Miaka Sita
Bei = Size × 16,000
Kianzio = Bei×3%
Mfumo: Tsh. (Bei×3%) kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo
Kisha:[Bei - (Bei×3%×18)]/Miezi iliyobakia
Mfano:
Size = sqm 700
Bei : 700×14,000=11,200,000
Kianzio: 11,200,000×3%=336,000
Mfumo: Tsh 336,000 kila mwezi kwa miezi 18 ya mwanzo
Kisha: [11,200,000-(336,000×18)]/(72-18)
= 5,152,000÷54
= 95.407
Tsh 95,407 kila mwezi kwa miezi 54 ya mwisho
Iwapo umevutiwa bofya hapa chini kulipia:-
Tumia fomu hapo chini kujua kiwanja unachokihitaji na kwa mfumo unaotaka kutumia wa malipo kitakua na utaratibu gani:
Tanzanian Diaspora
bottom of page