WAMILIKI WA MASHAMBA MAKUBWA

MPANGO KABAMBE WA KUSAIDIANA

Utangulizi

Ikumbukwe kuwa serikali imetoa tamko kwamba wale wote ambao wanamiliki mashamba/maeneo  makubwa ya ardhi bila kuyafanyia maendeleo watanyang'anywa na mashamba/maeneo hayo kugawanywa kwa wananchi wenye uhitaji wa ardhi. 

Mpango

Kwa kuzingatia maelezo hapo juu,kampuni ya Makazi Investment LTD yenye makao yake makuu Kijitonyama karibu na kituo cha mabasi cha Makumbusho Jijini Dar es Salaam imekuja na mpango kabambe wa kusaidiana na wamiliki wa mashamba/maeneo kwa faida ya pamoja (Mutual Benefit).

Kumbuka kuwa sisi tunao wateja wa kuwahudumia kiasi kwamba hatuna maeneo ya kutosha kuwahudumia na wewe ndugu mmiliki unalo shamba /eneo lakini huna wateja au uwezo wa kulipima na kuwauzia wateja.

Hivyo basi tuko tayari kushirikiana na wewe ndugu mmiliki kwa kuliendeleaza na kuliongezea thamni eneo lako na kuliuza kisha wewe upate fedha sawasawa na thamani ya eneo lako na sisi tupate faida kidogo itokanayo na mkataba huo.

Mfumo

Mfano: Ndugu mmiliki unazo ekari 20 maeneo ya Mpiji Magohe

             

             Bei ya soko ni milioni 20 kwa ekari moja

             Thamani ya shamba/eneo lako ni 20 x 20,000,000 = 400,000,000/=

Kampuni ya Makazi Investment Ltd itaingia mkataba na wewe wa kisheria ambapo;

             1.Italisafisha eneo kwa gharama ya kampuni

             2.Italifanyia survey/kuligawa katika plots kwa gharama ya kampuni

             3.Italifanyia marketing kwa gharama ya kampuni.

             4.Itafanya mauzo kwa jina la kampuni.

             5.Fedha itakayopatikana kutokana na mauzo itawekwa kwenye akaunti ya mmiliki kwa mujibu                  wa makubaliano ya kisheria hadi itakapotimia fedha yote anayodai mmiliki mfano hapo juu

                mmiliki atawekewa kwenye akaunti hadi itimie 400,000,000/= ndipo baada ya hapo                               kampuni ianze kurudisha gharama zake.

             

Katika utaratibu wote huu mmiliki hatatoa hata senti moja kugharamia chochote bali atakaa na kusubiria mauzo yafanyike ili fedha yake iingizwe kwenye akaunti yake.

USINGOJE HADI SHAMBA LAKO LIGAWIWE KWA WANANCHI,CHANGAMKIA FURSA HII!!!

Kwa maelezo zaidi tupigie;

0713565999 / 0712780906 / 0767565999 / 0769425161