MASHAMBA

TUNAUZA MASHAMBA YAFUATAYO

Shamba

Maelezo

Bei

Mfumo wa Malipo

Bagamoyo Fukayosi

Liko katika Mji wa Fukayosi karibu kabisa na mradi wa kuchimba gesi wa Bagamoyo.Ni umbali wa mita800 toka Bagamoyo Mjini na liko umbali wa MITA 800 toka barabara kuu ya Bagamoyo-Msata.Lina ukubwa wa ekari 34

Linauzwa

Rejareja

Kila ekari moja ni

Tsh. 5,000,000

Square meter 1 = Tsh. 1,250

Tunauza kuanzia ekari 2

2 x 5,000,000 =

                  10,000,000/-

Malipo ni Cash

Piga:

+255713565999

Bagamoyo Mataya

Liko Mataya,Bagamoyo ...umbali wa kilometa 5 toka barabra ya Dar - Bagamoyo...liko flat na halina mlima wowote.Linafaa kwa makazi,biashara au shule

Linauzwa

Rejareja

Kila ekari moja ni

Tsh. 8,000,000

Square meter 1 = Tsh. 2,000

Tunauza kuanzia ekari 2

2 x 8,000,000 =

                  16,000,000/-

Malipo ni Cash

Piga:

+255713565999

Kigamboni 

Kimbiji

Size: Ekari 25

Liko Kigamboni eneo la Kimbiji,umbali wa kilometa 40 toka Daraja jipya la Kigamboni,kilometa 7 toka Kimbiji mjini na mita 800 toka barabara kuu.Lina ukubwa wa ekari 25 na kila ekari moja kwa bei ya jumla ni Tsh.8,000,000 na kwa bei ya reja reja(kuna vipande vitatu vya rejareja;cha ekari 7,9 na 9) ni Tsh.10,000,000 kwa ekari moja

TZS: 200,000,000/=

Kila ekari moja ni

Tsh. 8,000,000

Square meter 1 = Tsh. 2,000

Tunauza kuanzia ekari 7

7 x 8,000,000 =

                  56,000,000/-

Malipo ni Cash

Ila kwa mnunuzi wa shamba lote anaweza kutanguliza nusu malipo

Piga:

+255713565999

Mvuti

Ilala Munucipal

Size: Ukubwa

Tofauti tofauti

Mashamba yapo Mvuti katika Manispaa ya Ilala.Mvuti ipo upande wa muelekeo wa Gongolamboto baada ya Chanika...ni kama mwendo wa dakika nne hivi kwa gari toka Chanika au kilometa nne.

TZS: 12,000,000/=

Tunauza kuanzia ekari 1

Malipo ni Cash

Kwa Kila ekari moja

Square meter 1 = Tsh. 3,000

Piga:

+255713565999

© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.