top of page
Masantula - Chanika
Eneo la ekari mbili Chanika Mjini
Mahali Ilipo: Chanika Mjini ,Mtaa wa Masantula
Maelezo: - Eneo lina Maji na Umeme uko karibu
- Gari inafika hadi site
- Barabara za mtaani zinafikia kwenye eneo
- Eneo lina nyumba mbili,moja imekamilika na nyinine bado
haijakamilika(iko kwenye linta) ambayo ni fremu za biashara
- Eneo limezungushiwa fance ya ukuta
- Eneo ni tambarare kabisa.
- Linafaa kwa matumizi ya makazi,biashara,shule,
hospitali,ufugaji n.k
BEI: - Kwa eneo lote ni Tsh 70,000,000 (Milioni Sabini)
- Eneo linauzwa lote kwa pamoja
- Unaweza kuanza kulipa nusu
- Unaweza kulipa kwa installments miezi 6
MFUMO WA MALIPO:
- Unaweza kulipia kiwanja kama ifuatavyo:
1.Lipa hela yote kwa mkupuo mmoja na upewe punguzo la 10%
2.Lipa kidogokidogo wa installments za kila mwezi ambapo
kwa kuanza na 50% deni linalobakia utalilipa ndani ya miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga:
0713565999 / 0767565999
0712780906 / 0769425161
Picha za Eneo (Site)
2
13
33
31
29
28
27
25
26
bottom of page