Kiwanja Kigamboni-Mwasonga

Mahali vilipo: Kigamboni Mwasonga

Maelezo: - Eneo lina ukubwa wa sqm 1020

                  - Liko jirani na shule ya Sekondari ya Kisarawe 2
                  - Gari inafika hadi site

                  - Barabara za mtaani zinafikia kila kiwanja

                  - Eneo ni lina mandhari ya kuvutia.
 Bei:  Tsh. 7,000,000 badala ya Tsh 12,000,000

           Ni punguzo la 40%

MFUMO WA MALIPO:

                - Anza na nusu ya malipo kisha iliyobakia ilipwe ndani ya miaka                        miwili.

Kwa maelezo zaidi piga:

                             0713565999  / 0767565999   

                            

               

Picha za Eneo (Site)

Show More

Ramani ya Eneo