© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.

KIWANJA MSONGOLA

Kiwanja Kinauzwa Msongole

Mahali Ilipo: Msongola ,Mtaa wa Kidole

Maelezo: - Eneo lina Maji na Umeme
                  - Gari inafika hadi site

                  - Barabara za mtaani zinafikia kila kiwanja

                  - Eneo ni tambarare kabisa.

                  - Mita chache toka barabara ya lami inayotokea Mvuti kwenda

                    Mbagala

                  - Lina nyumba iliyofikia usawa wa linta


Size:  Lina ukubwa wa mita 50 kwa 50

          

BEI: Tsh. 12,000,000 (Milioni kumi na mbili)

           

MFUMO WA MALIPO:

                Malipo yote kwa mkupuo mmoja.

Kwa maelezo zaidi piga:

                             0713565999  / 0767565999

                            

               

Picha za Eneo (Site)

Show More