© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.

Kiwanja cha Nusu Eka kinauzwa Goba

Kiko kati ya Goba na Mbezi Luis

Ukubwa ni takribani square meter 2,465

Kimepakana na barabara ndogo ya mtaa

Kiko mita 200 toka barabara ya Goba- Mbezi Luis

Kimezungukwa na majumba pande zote

Huduma zote zinapatikana

Kina nyumba chakavu

Urefu ni mita 85

Upana wa juu ni mita 38

Upana wa katikati ni mita 26

Upana wa chini ni mita 20

Picha kulia inaonesha kilivyo

 

Conact: 0713565999