© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.

Nyumba inauzwa Kimara Kilungule

Mahali Ilipo : Iko Kimara Kilungule

Eneo:  Karibia robo eka ukijumlisha na bonde ambalo linafaa kwa mabanda

            Ramani ya upimaji tayari na mawe yameshawekwa

            Eneo linalobakia linaweza kujengwa nyuma mbili kubwa

Nyumba: Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master,Dining,Sitting,Public toilet na store

Maelezo ya ziada:

 Nyumba inadaiwa na CRDB jumla ya Tsh.50,000,000/ ambapo bank iko tayari kulihamisha deni kwa mtu anayeipenda nyumba atalipa milioni 20 na milioni 30 zilizobakia atalipa kidogo kidogo kwa mwaka mmoja hadi mmoja na nusu.

Kwa maelezo zaidi:

Piga  0712038585