top of page
KILUVYA MPYA
Viwanja Kiluvya Mpya
Mahali Ilipo: Kiluvya(Kwa Sumaye) ,Mtaa wa Makurunge
Maelezo: - Huduma za jamii ziko karibu
- Gari inafika hadi site
- Barabara za mtaani zinafikia kila kiwanja
- Eneo ni tambarare kabisa.
BEI: Tsh. 8,000 kwa sqm(Milioni 6.49 unapata kiwanja )
-Ukubwa kuanzia sqm 649
-Kiwanja cha bei ya chini kabisa ni Milioni 6.49
-Unaweza kulipa kwa instalments mwaka mmoja hadi miaka sita.
MFUMO WA MALIPO:
- Unaweza kulipia kiwanja kama ifuatavyo:
1.Ukilipa hela yote kwa mkupuo mmoja bei inakua Tsh 8,000 kwa sqm.
2.Lipa kidogokidogo wa installments za kila mwezi ambapo
(a) Unaanza na 5% kila mwezi kuanzia mwezi wa 1 hadi wa 6,kisha mwezi wa 7 hadi wa 12 unalipa 3.33% kila mwezi na mwisho 50% iliyobakia kwa muda uliobakia kutegemeana na muda wa malipo.
(b) Ukianza na 3% mwezi wa kwanza hadi wa 18 na kisha 46% kwa muda
uliobakia kutegemea muda wa malipo uliochagua.
Kwa maelezo zaidi piga:
0713565999 / 0767565999
0712780906 / 0769425161
0713940188
Ramani ya Viwanja
BLOCK I
Plot No. 317 - 332

BLOCK VIII
Plot No. 234 - 256

Picha za Eneo (Site)

54

53

52

51

50

49

48

47

46
bottom of page