KILUVYA KIMOCHI

 

Mahali: Kiluvya Madukani mtaa wa Makurunge

                Unaingilia uande wa kushoto kutokea Dar es Salaam na upande wa kulia kutokea Kibaha Maili Moja.

SWALI:Umbali gani toka Morogoro Road?

JIBU: Kilometa sita toka Morogoro Road

 

SWALI:Viwanja Kiluvya ni size gani?

JIBU:  Kuanzia sqm 240 na kuendelea

                

 KILUVYA KIMOCHI

               Square meter moja ni Tsh 10,000

                 Ni kuanzia sqm 240 kama ifuatavyo:

                 Mita 20 kwa 12 (sqm 240) Tsh 2,400,000/=
                 

                 Mita 20 kwa 13 (sqm 260) Tsh 2,600,000/=


                 Mita 20 kwa 15 (sqm 300) Tsh 3,000,000/=


                 Mita 20 kwa 20 (sqm 400) Tsh 4,000,000/=


                 Mita 20 kwa 25 (sqm 500) Tsh 5,000,000/=


                 Mita 30 kwa 20 (sqm 600) Tsh 6,000,000/=


                 Mita 35 kwa 20 (sqm 700) Tsh 7,000,000/=

                 Mita 30kwa 25 (sqm 750) Tsh 7,500,000/=

                 Mita 20 kwa 40 (sqm 800) Tsh 8,000,000/=

                 Mita 30 kwa 30 (sqm 900) Tsh 9,000,000/=

                 Mita 40 kwa 25 (sqm 1000) Tsh 10,000,000/=

                Mita 40 kwa 30 (sqm 1200) Tsh 12,000,000/=

                 Mita 40 kwa 40 (sqm 1600) Tsh 16,000,000/=

 

             UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KAMA IFUATAVYO;

             Kiwanja cha milioni 1 hadi 3:
             Unaanza na nusu na iliyobakia ndani ya miezi mitatu 

             Kiwanja cha milioni 4 hadi 5:
             Unaanza na nusu iliyobakia ndani ya miezi sita

             Kiwanja cha milioni 6 na zaidi
             Ukianza na 30% iliyobakia unalipa ndani ya miezi minane(8) 
             Ukianza na 50% iliyobakia unailipa ndani ya mwaka mmoja.

 

 

© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.