top of page
KILUVYA 3
Viwanja Kiluvya,Mtaa wa Makurunge
Mahali Ilipo: Kiluvya(Kwa Sumaye) ,Mtaa wa Makurunge
Maelezo: - Eneo lina Maji na Umeme hauko mbali na site
- Gari inafika hadi site
- Barabara za mtaani zinafikia kila kiwanja
- Eneo ni tambarare kabisa.
BEI: Kuanzia Tsh. 1,500,000 (Milioni 1.5) hadi Tsh. 6,000,000 (Milioni 6)
MFUMO WA MALIPO:
-Ukilipa yote kwa mkupuo mmoja unapata punguzo 10%
-Unaweza kulipa kidogokidogo
-Kiwanja cha milioni 1.5 unatakiwa kuanza na nusi kisha deni lilipwe
ndani ya miezi mitatu.
-Kiwanja cha milioni 3 unatakiwa kuanza na nusu kisha deni lilipwe
ndani ya miezi sita.
-Kiwanja cha milioni 5 na zaidi,ukianza na 30% iliyobakia italipwa
ndani ya miezi minane na ukianza na 50% iliyobakia italipwa ndani
ya mwaka mmoja.
Kwa maelezo zaidi piga:
0713565999 / 0767565999
0712780906 / 0769425161
0713940188
Ramani ya Viwanja

bottom of page