© 2015 - 2020 Makazi Investment Limited . All rights reserved.

KILUVYA  1C

Majibu ya Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu bidhaa Zetu

SWALI:Una viwanja wapi na wapi?

JIBU: Kiluvya,Pugu,Chanika na Mvuti

 

            MRADI WA  KILUVYA:

SWALI:Kiluvya sehemu gani?

JIBU: Kiluvya Madukani mtaa wa Makurunge

 

SWALI:Umbali gani toka Morogoro Road?

JIBU: Kilometa nane toka Morogoro Road

 

SWALI:Viwanja Kiluvya ni size gani?

JIBU: Vilivyopo

                 1.KILUVYA 1C

                Bei ni Tsh 10,000 kwa sqm

                 Ni kuanzia sqm 400 kama ifuatavyo:

                 Milioni 3.0 kwa sqm 300
                 Size:Mita 20 kwa 15

                Milioni 4.0 kwa sqm 400
                Size:Mita 20 kwa 20

                Milioni 5.0 kwa sqm 500
                Size:Mita 20 kwa 25

                Milioni 6.0 kwa sqm 600
                Size:Mita 30 kwa 20

 

             UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KAMA IFUATAVYO;

             Kiwanja cha milioni 1 hadi 2:
             Unaanza na nusu na iliyobakia ndani ya miezi mitatu 

             Kiwanja cha milioni 2.5 hadi 3
             Unaanza na nusu iliyobakia ndani ya miezi mitano.

             Kiwanja cha milioni 3.5 hadi 4.5
             Ukianza na 30% utalipa ndani ya miezi 6
             Ukianza na 50% utalipa ndani ya miezi 8

             Kiwanja cha milioni 5 na zaidi
             Ukianza na 30% iliyobakia unalipa ndani ya miezi minane(8) 
             Ukianza na 50% iliyobakia unailipa ndani ya mwaka mmoja.