
Viwanja vya Fukayosi
Mradi wa Fukayosi upo katika Mji wa Fukayosi takribani kilometa 30 toka Bagamoyo Mjini kuelekea Msata.
Umbali toka barabara yalami ya Bagamoyo - Msata ni mita 500 tu karibu na Mnada wa Fukayosi.
Bei kwa sqm ni Tsh 5,000/- tu
Ukubwa wa viwanja ni kuanzia sqm 243 sawa na Tsh 1,215,000/-
Ramani ya Viwanja
CHAGUA KIWANJA HAPA
Jinsi ya Kuchagua:
Iwapo unataka kuchagua kiwanja angalia size yake(kwa square meter) chini ya column ya AREA kisha ukipendezwa na ukubwa husika nenda kulia angalia BUTTON inayohusika kisha bonyeza