CHANIKA-ZINGIZIWA
Mahali Ilipo: Viwanja viko Chanika Zingiziwa,
Maelezo Mengine: Viko Kilomet nne toka barabara ya lami ya Chanika-Mvuti
-kilometa 6 toka Chanika Mjini
-Si mbali toka dispensary ya Zingiziwa na pia ni mita 800 toka Zingiziwa Primary na Secondary School.
-Umeme uko mita 800 tu toka site
BEI: Bei kwa sqm ni Tsh 12,000.
-Unaweza kulipa kwa instalments miaka miwili.
MFUMO WA MALIPO:
- Ukilipa yote kwa mkupuo mmoja unapata punguzo 10%
Unaweza kulipa kidogokidogo kama ifuatavyo
- Kiwanja cha milioni 1 hadi 1.5 unatakiwa kuanza na nusu kisha deni lilipwe ndani ya miezi mitatu.
-Kiwanja cha milioni 3 unatakiwa kuanza na nusu kisha deni lilipwe ndani ya miezi sita.
Kwa maelezo zaidi piga:
0713565999 / 0767565999
0712780906 / 0769425161
0713940188