KUHUSU BIDHAA ZETU
Majibu ya Maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu bidhaa Zetu
SWALI:na viwanja wapi na wapi?
JIBU: Kiluvya,Pugu,Chanika na Mvuti
MRADI WA KILUVYA:
SWALI:Kiluvya sehemu gani?
JIBU: Kiluvya Madukani mtaa wa Makurunge
SWALI:Umbali gani toka Morogoro Road?
JIBU: Kilometa nane toka Morogoro Road
SWALI:Viwanja Kiluvya ni size gani?
JIBU: Vilivyopo
1.KILUVYA 1
Bei ni Tsh 10,000 kwa sqm
Ni kuanzia sqm 400 kama ifuatavyo:
Milioni 3.0 kwa sqm 300
Size:Mita 20 kwa 15
Milioni 4.0 kwa sqm 400
Size:Mita 20 kwa 20
Milioni 5.0 kwa sqm 500
Size:Mita 20 kwa 25
Milioni 6.0 kwa sqm 600
Size:Mita 30 kwa 20
UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KAMA IFUATAVYO;
Kiwanja cha milioni 1 hadi 2:
Unaanza na nusu na iliyobakia ndani ya miezi mitatu
Kiwanja cha milioni 2.5 hadi 3
Unaanza na nusu iliyobakia ndani ya miezi mitano.
Kiwanja cha milioni 3.5 hadi 4.5
Ukianza na 30% utalipa ndani ya miezi 6
Ukianza na 50% utalipa ndani ya miezi 8
Kiwanja cha milioni 5 na zaidi
Ukianza na 30% iliyobakia unalipa ndani ya miezi minane(8)
Ukianza na 50% iliyobakia unailipa ndani ya mwaka mmoja.
2.KILUVYA 2
Vimeisha na mradi umefungwa
3.KILUVYA 3
Milioni 3 kwa sqm 400
Size:Mita 20 kwa 20
Milioni 4 kwa sqm 500
Size:Mita 20 kwa 25
Milioni 5 kwa sqm 600
Size:Mita 30 kwa 20
UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KAMA IFUATAVYO;
Kiwanja cha milioni 1 hadi 2:
Unaanza na nusu na iliyobakia ndani ya miezi mitatu
Kiwanja cha milioni 2.5 hadi 3
Unaanza na nusu iliyobakia ndani ya miezi mitano.
Kiwanja cha milioni 3.5 hadi 4.5
Ukianza na 30% utalipa ndani ya miezi 6
Ukianza na 50% utalipa ndani ya miezi 8
Kiwanja cha milioni 5 na zaidi
Ukianza na 30% iliyobakia unalipa ndani ya miezi minane(8)
Ukianza na 50% iliyobakia unailipa ndani ya mwaka mmoja.
4.KILUVYA MPYA
Kuanzia sqm 600
MKOPO HADI MIAKA 6
Size: Kuanzia sm 600 na kuendelea
Bei: Kuanzia milioni 10
Status: Vimepimwa na utapata hatimiliki.
Mfumo wa Malipo: Unaweza kulipia hadi miaka 6
Ukilipa cash bei ni Tsh. 8,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Mwaka Mmoja bei ni Tsh. 9,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Miwili bei ni Tsh. 10,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Mitatu bei ni Tsh. 11,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Minne bei ni Tsh. 12,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Mitano bei ni Tsh. 13,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Sita bei ni Tsh. 14,000 kwa sqm,
Kutembelea:
Kila siku saa nne asubuhi na Jumapili saa saba mchana
Makutano ni Mbezi Mwisho stand
SWALI: Naweza kulipa kidogokidogo?
JIBU: Ndiyo…..mfumo wa malipo ni kama ifuatavyo:
UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KAMA IFUATAVYO;
Kiwanja cha milioni 1 hadi 2:
Unaanza na nusu na iliyobakia ndani ya miezi mitatu
Kiwanja cha milioni 2.5 hadi 3
Unaanza na nusu iliyobakia ndani ya miezi mitano.
Kiwanja cha milioni 3.5 hadi 4.5
Ukianza na 30% utalipa ndani ya miezi 6
Ukianza na 50% utalipa ndani ya miezi 8
Kiwanja cha milioni 5 na zaidi
Ukianza na 30% iliyobakia unalipa ndani ya miezi minane(8)
Ukianza na 50% iliyobakia unailipa ndani ya mwaka mmoja.
SWALI:Umeme umefika?
JIBU:Kiluvya 1 umeme upo na Kiluvya 3 hapo mbali na site
SWALI: Siku gani za kwenda site Kiluvya?
JIBU: Kila siku saa nne asubuhi isipokua Jumapili ni saa saba mchana.Unakutana na wahudumu pale Mbezi Mwisho stand.
SWALI:Una viwanja wapi na wapi?
JIBU: Kiluvya,Pugu,Chanika na Mvuti
1.KILUVYA 1C
Bei ni Tsh 10,000 kwa sqm
Ni kuanzia sqm 400 kama ifuatavyo:
Milioni 3.0 kwa sqm 300
Size:Mita 20 kwa 15
Milioni 4.0 kwa sqm 400
Size:Mita 20 kwa 20
Milioni 5.0 kwa sqm 500
Size:Mita 20 kwa 25
Milioni 6.0 kwa sqm 600
Size:Mita 30 kwa 20
UNAWEZA KULIPA KIDOGO KIDOGO KAMA IFUATAVYO;
Kiwanja cha milioni 1 hadi 2:
Unaanza na nusu na iliyobakia ndani ya miezi mitatu
Kiwanja cha milioni 2.5 hadi 3
Unaanza na nusu iliyobakia ndani ya miezi mitano.
Kiwanja cha milioni 3.5 hadi 4.5
Ukianza na 30% utalipa ndani ya miezi 6
Ukianza na 50% utalipa ndani ya miezi 8
Kiwanja cha milioni 5 na zaidi
Ukianza na 30% iliyobakia unalipa ndani ya miezi minane(8)
Ukianza na 50% iliyobakia unailipa ndani ya mwaka mmoja.
MRADI WA PUGU
SWALI:Viwanja viko Pugu sehemu gani?
JIBU: Viko Pugu Kinyamwezi,eneo la Kimani Juu baada ya Kipawa mpya.Ukitoka Pugu Kajiungeni kama unaelekea Chanika shuka kituoa kinachofuata kinachoitwa Kwa Rais(Rahisi) au Kwa Pinda,ingia upande wa kulia fuata reli hadi uvuke daraja la treni.
-Ni takribani kilometa 4 toka barabara ya lami.
SWALI:Pugu viwanja bei gani?
JIBU:Sqm moja ni Tsh 16,000 na vipo kuanzia vya milioni 1.8
Kiwanja cha mita 20 kwa 20 ni milioni 4.8
Vipo kuanzia sqm 200 hadi sqm 1000
SWALI:Umeme umefika?
JIBU:Ndiyo
SWALI: Kutembelea Pugu ni siku gani?
JIBU: Jumatano,Jumamosi na Jumapili
MRADI WA CHANIKA:
SWALI:Viwanja viko Chanika sehemu gani?
JIBU:Chanika Zingiziwa
SWALI: Umbali gani toka barabara ya lami?
JIBU:Viko Kilomet nne toka barabara ya lami ya Chanika-Mvuti
SWALI:Bei gani?
JIBU: Bei kwa sqm ni Tsh 9,000 na viko kuanzia sqm 499 sawa na milioni 4.4
SWALI:Zingiziwa ni umbali gani toka Chanika Mjini?
JIBU:Takribani kilometa 6 toka Chanika Mjini
SWALI: Huduma za kijamii zipo?
JIBU:Si mbali toka dispensary ya Zingiziwa na pia ni mita 800 toka Zingiziwa Primary na Secondary School
SWALI:Umeme umefika?
JIBU:Umeme uko mita 800 tu toka site
SWALI:Siku gani kutembelea site?
JIBU: Jumatano,Jumamosi na Jumapili
MRADI WA MVUTI
SWALI: Mvuti iko wapi?
JIBU: Mvuti iko baada ya Chanika...kaka kilometa 6 hivi toka Chanika Mjini
SWALI:Viwanja viko sehemu/mtaa gani?
JIBU:Mtaa wa Kiboga
SWALI:Mvuti ni bei gani?
JIBU: Bei kuanzia milioni 1
SWALI:Inalipwwa namna gani?
JIBU:Ukianza na nusu iliyobakia ni ndani ya miei mitatu
SWALI:Umbali gani toka Mvuti Mjini?
JIBU:Takribani kilometa 4 toka Mvuti Mjini
SWALI:Huduma Zipo?
JIBU:Huduma zote zipo kama shule na Afya isipokua umeme.
KIGAMBONI
SWALI: Kigamboni viwanja viko wapi?
JIBU:Viwanja viko Mwasonga,njiapanda ya Tundwi-Songani
Mwasonga iko kilometa 15 toka Kibada
Viwanja viko takribani kilometa 6 toka Mwasonga Mjini na kilometa 3 tu toka beach.
Size: Kuanzia sm 500 na kuendelea
Bei: Kuanzia milioni 10
Status: Vimepimwa na utapata hatimiliki.
Mfumo wa Malipo: Unaweza kulipia hadi miaka 6
Ukilipa cash bei ni Tsh. 8,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Mwaka Mmoja bei ni Tsh. 9,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Miwili bei ni Tsh. 10,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Mitatu bei ni Tsh. 11,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Minne bei ni Tsh. 12,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Mitano bei ni Tsh. 13,000 kwa sqm,
Ukilipa kwa Miaka Sita bei ni Tsh. 14,000 kwa sqm,
Kutembelea:
Kila siku ya Jumamosi saa sita mchana.
Makutano ni Kibada Duka la Dawa